Mnada wa hadhara Mali za US embassy Tanzania

mambucha

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
279
160
Changamkia fursa kesho kutakuwa na mnada wa hadhara wa Mali za ubalozi wa marekani utakaofanyika sinza dsm
IMG-20170421-WA0015.jpg
IMG-20170421-WA0013.jpg
IMG-20170421-WA0012.jpg
IMG-20170421-WA0011.jpg
IMG-20170421-WA0010.jpg
IMG-20170421-WA0009.jpg
IMG-20170421-WA0008.jpg
IMG-20170421-WA0006.jpg
IMG-20170421-WA0004.jpg

IMG-20170421-WA0001.jpg
 
Mbn taarifa yko umeitoa kiufupi xana kias kwamb siwez kuielew vzur km kafa shoga.. au unatk kuhadaa watu
 
Mbn taarifa yko umeitoa kiufupi xana kias kwamb siwez kuielew vzur km kafa shoga.. au unatk kuhadaa watu
Ubalozi wa Marekani unapenda kukujulisha mnada mkubwa wa Magari, Mafridge, Magenerator pamoja na Furniture mbalimbali za nyumbani. Universal Auction Centre kwa idhini tuliyopewa tutauza vitu hivyo siku ya jumamosi ya wiki hii 22.04.17 kuanzia saa 4 asubuhi, Golden Resort, Sinza, jirani na Lion Hotel.

Mali zote zinaweza kukaguliwa kuanzia leo.

Kwa mawasiliano nasi tupigie +255754284926
 
Muache mambo ya kibashite, mnatangaza humu watu tunakuja hapo kila tunachogusa kimeishauzwa.

Mnawaambukiza wamarekani mambo yenu ya kiswahili swahili.
 
Back
Top Bottom