Je unataka kujifunza jinsi ya kutengeneza websites?

Lodrick Thomas

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
1,339
2,431
Habari zana JF?

Leo nimeamua kuwaletea series ya masomo ya website develop kuanzia level ya chini kabisa mpaka level ya juu!! nimeanzisha youtube channel ambapo nitaweka masomo mbali mbali kuhusu web development!

Kila mtu anaweza jiunga nasi, click link hapa chini ili uweze kuanza kujifunza! hamna utaalam unaotakiwa kabla ya kuanza kujifunza hii ni kwa wote!!!

Channel link: AfriCom Developers

Tafadhali subscibe and turn notification on ili uweze kupata taarifa pindi tunapotoa video mpya!!

 
Back
Top Bottom