TV inauzwa mpya kabisa

Mgjd

JF-Expert Member
Feb 19, 2012
532
132
Tv aina ya SAMSUNG SMART LED INCH 32 TOLEO LA 2015, MODEL UA32J4303, .. NI MPYA KABISA, IMETESTIWA TU,.. BEI YAKE NI TSH 650,000.. KWA SERIOUS BUYERS TUWASILIANE.. 0754849763..NAPATIKANA DAR ES SALAAM WILAYA YA TEMEKE.. YOMBO ABIOLA/MAKANGARAWE..
 
Unauzia bei ya dukani.
 
Kitu kipya! Mlikuwa na mashaka gani mpaka mkaamua kuitest!!?

Nyoosha maelezo kuwa imetumika.
 
Wewe si mnunuzi mkuu, huwezi kujua tafrani za watu, .. Unafanya jambo leo, kisha kesho linazuka jambo ambalo hukutarajia, na njia pekee ya ku Deal nalo ni kutumia ulichonacho, na kwa bahati mbaya ulishakitumia kununulia kifaa kama hivi TV,. Sasa unafanya je? Inauza kile ulichonunua ambacho kipo katika hali nzuri ya kupata soko haraka ili utatue tatizo.. Ingelikuwa na ubovu wowote, ningeliirudisha dukani, kwakuwa waranti yake ipo, na ina siku 16 tu tangu inunuliwe..
Serious Buyers are welcome.. Nachotaka kurudisha PESA YANGU bila kupata lose KUBWA.. Dukani ni 750,000...
Mimi kufanya 650,000 ni ili niweze kupata hiyo hela mapema nisolve dharura iliyoipata.. Wenye UELEWA NA MAISHA WAMENIELEWA.HATA WEWE PIA NI MUELEWA SINA SHAKA HATA KIDOGO.
 
Bro, go to zoomtanzania.com, unaweza ukashusha price!
Mkuu natafuta njia nyingine mbadala, ya kupata hiyo hela haraka, nikifanikiwa basi sitauza tena.. Nimenunua kwa matumizi yangu, lakini dharura iliyonifika,imenifanya nisitishe matumizi yake kwanza, kisha baadaye huko mbele ya safari ninunue nyingine.. Lakini kwa kuuza bei chini ya hapo hapana kabisa mkuu wangu.. Labda ingelikuwa na hitilafu sawa, lkn nzima na ubora wake! na OG !! oh No
 
Nakuelewa, better ufanye hivyo, hapa kupata hiyo hela sio rahisi kaka, Ukiwa na shida watu watakushikia chini Kaka!
 
Wewe si mnunuzi mkuu, huwezi kujua tafrani za watu, .. Unafanya jambo leo, kisha kesho linazuka jambo ambalo hukutarajia, na njia pekee ya ku Deal nalo ni kutumia ulichonacho, na kwa bahati mbaya ulishakitumia kununulia kifaa kama hivi TV,. Sasa unafanya je? Inauza kile ulichonunua ambacho kipo katika hali nzuri ya kupata soko haraka ili utatue tatizo.. Ingelikuwa na ubovu wowote, ningeliirudisha dukani, kwakuwa waranti yake ipo, na ina siku 16 tu tangu inunuliwe..
Serious Buyers are welcome.. Nachotaka kurudisha PESA YANGU bila kupata lose KUBWA.. Dukani ni 750,000...
Mimi kufanya 650,000 ni ili niweze kupata hiyo hela mapema nisolve dharura iliyoipata.. Wenye UELEWA NA MAISHA WAMENIELEWA.HATA WEWE PIA NI MUELEWA SINA SHAKA HATA KIDOGO.
Sina uhakika na hii bei ya laki 7.5..mara ya mwisho nimeuliza bei dukani ni 6.5K
 
Yaani waliinunua ili kuitest tu!!!
Halafu wakairudisha kwenye boksi na wanaiuza. Sasa ndio nini
Mkuu, ingelikuwa na ubovu wa aina yoyote, si waranti ipo? Siku 16 tu, si ningeliirudisha dukani kwa WAKALA? UNADHANI NIMENUNUA MADUKA YA UCHOCHORONI? SAMSUNG AUTHORIZED
DEALERS TANZANIA LTD
 
Back
Top Bottom