Toyota Raum new model inauzwa bei chee

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
87,128
120,525
Gari Haidaiwi vibali ......
Imetembea km 110000
AC TU ndiyo shidaa....
Inauzwa 5.5m(fixed)muuzaji anahitaji hela fasta....kazi kwenu walengaji...gari hii hapa...
Gari inapatikana temeke,dar
Piga sim 0715591141(only serious buyers)

Ova
 
Attachments

  • IMG-20170422-WA0114.jpg
    IMG-20170422-WA0114.jpg
    72.9 KB · Views: 258
  • IMG-20170422-WA0115.jpg
    IMG-20170422-WA0115.jpg
    54.2 KB · Views: 230
  • IMG-20170422-WA0116.jpg
    IMG-20170422-WA0116.jpg
    69.6 KB · Views: 229
  • IMG-20170422-WA0117.jpg
    IMG-20170422-WA0117.jpg
    79.4 KB · Views: 332
  • IMG-20170422-WA0118.jpg
    IMG-20170422-WA0118.jpg
    75.8 KB · Views: 326
  • IMG-20170422-WA0120.jpg
    IMG-20170422-WA0120.jpg
    64.4 KB · Views: 246
  • IMG-20170422-WA0119.jpg
    IMG-20170422-WA0119.jpg
    61.8 KB · Views: 234
  • IMG-20170422-WA0120.jpg
    IMG-20170422-WA0120.jpg
    64.4 KB · Views: 214
  • IMG-20170422-WA0121.jpg
    IMG-20170422-WA0121.jpg
    70.9 KB · Views: 253
Gari Haidaiwi vibali ......
Imetembea km 110000
AC TU ndiyo shidaa....
Inauzwa 5.5m(fixed)muuzaji anahitaji hela fasta....kazi kwenu walengaji...gari hii hapa...
Gari inapatikana temeke,dar
Piga sim 0715591141(only serious buyers)

Ova
Toyota allex pia ipo inauzwa mil 8. Serious buyer anicheki nimyumie picha na mambo mengine. Namba 0787640213
 
Bei Nzuri na Gari nzuri

Nimependa ustaarabu wa Muuzaji wa kusema ukweli kuhUsu Tatizo la kipoza hewa ( AC)
 
Bei Nzuri na Gari nzuri

Nimependa ustaarabu wa Muuzaji wa kusema ukweli kuhUsu Tatizo la kipoza hewa ( AC)
Shkrani mkuu....nna uzoefu wa muuzaji wa Magari hata bei nliyoiweka nmeweka ya mmiliki sikuweka bei ya tamaa

Ova
 
Shkrani mkuu....nna uzoefu wa muuzaji wa Magari hata bei nliyoiweka nmeweka ya mmiliki sikuweka bei ya tamaa

Ova
Wabongo hatuna dogo mkuu ungeweka bei kubwa ungesikia umeuza bei juu sana sasa umeweka bei ya kweli wanasema imekuwa ndogo mno labda mbovu duh wabongo shida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom