Baada ya shamrashamra za sherehe za Muungano hapo jana, leo tena ni siku nyingine maridhawa nzuri ya kuendeleza gurudumu la kutufanya tuishi kwenye sayari ya dunia yenye kila nyenzo za kila...
Habari JF Members
Nafanya Ghraphic Designs za matangazo na picha mbalimbali. Pia ninaweza kukutangazia kupitia Paid ads kwa bei nafuu kwenye mitandao ya kijamii; FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM, NK...
Habari wanaJf
Nauza gari yangu aina yenye maelezo kama ifuatavyo:-
Aina ya gari: Subaru
Model: legacy
Body: station wagon
YoM: 2005
Cc:1990
Transmission: automanual
Fuel used: petrol
Oddometer...
Wakuu habari.
Kama kichwa cha habar hapo juu kisemavyo.
kuna furusa ya ajira kwa mtu mwenye cheti cha bima kuanzia ngazi ya certificate hadi diploma japo mwenye certificate anapewa upendeleo...
Wakuu poleni kwa majukumu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kufanya biashara na mtu anayetengeneza vifungashio kwa ajili ya kupaki sabuni. Vifungashio hivyo ni pamoja na box za...
habari za asubuh ndugu zangu samahani naulizia kwa anayefahamu mchakato mzima wa kuanzisha bishara ya kusambaza mboga mboga na matunda hasa kwenye hotels kubwa naombeni msaada
Wakuu kwa anae hitaji meza ya kwa ajili ya biashara iwe ya chipsi ama yoyeto ile inayo itaji meza ni ya mbao bei maelewano kwa picha zaid nichek 0679043099.....
Habari wakuu kuna kiwanja kipo Mwanza Buswelu karibu kabisa na shule ya sekondari bidii ukubwa wa kiwanja ni 32*20 bei mil tatu na laki Saba
Picha za eneo husika
Karibuni sana kwa Maelezo zaidi...
Tasisi Native Microfinance inataka kuajili watu wa kufanya kazi ya kutoa navkusimamia mikopo katika vikundi vya wajasiliamali maeneo ya mijini na vijijini. Hivyo watu wenye uzoefu na ufahamu mzuri...
Kwa anayefahamu utaratibu unaotumika kulipia mzigo/mizigo mbalimbali kwenye boda ya Tz na Uganda hasa kwa mzigo unaoweza kusafirishwa kwa basi, naomba anijuze tafadhali
Wadau leo nimeona vema kuwajulisha kuwa ninauza bidhaa za ubuyu pia natafuta masoko ndani na nje ya nchi: bidhaa ni;
MAFUTA YA UBUYU, UNGA WA TUNDA LA UBUYU, SABUNI YA UBUYU, UBUYU LISHE N.K...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.