Vifungashio kwa bidhaa za sabuni

ABB

Member
May 6, 2012
56
41
Wakuu poleni kwa majukumu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kufanya biashara na mtu anayetengeneza vifungashio kwa ajili ya kupaki sabuni. Vifungashio hivyo ni pamoja na box za aina mbalimbali na plastic zenye ujazo kuanzia lita moja na kuendelea.
Au kama unamfaham mtu mwenye kuuza vifungashio hivyo kwa bei ya jumla au anayetengeneza vifungashio unisaidie mawasiliano yake.
Natanguliza shukran.
 
Back
Top Bottom