msaada kwa anayefahamu tender ya kusambaza mboga mboga na matunda kwenye hotels kubwa

hot souce

Member
Aug 17, 2015
8
1
habari za asubuh ndugu zangu samahani naulizia kwa anayefahamu mchakato mzima wa kuanzisha bishara ya kusambaza mboga mboga na matunda hasa kwenye hotels kubwa naombeni msaada
 
Ushaanza kulima ?
 
Back
Top Bottom