Peter Ngenda
Member
- Feb 26, 2017
- 19
- 7
Tasisi Native Microfinance inataka kuajili watu wa kufanya kazi ya kutoa navkusimamia mikopo katika vikundi vya wajasiliamali maeneo ya mijini na vijijini. Hivyo watu wenye uzoefu na ufahamu mzuri wa kutoa na kusimamia mikopo ya vukundi waombe kwa kutuma CV kwa afisa ajira, email: peterbensonngenda@gmail.com.