NATENGENEZA MATANGAZO KWA BEI NAFUU

Nov 15, 2014
31
10
Habari JF Members

Nafanya Ghraphic Designs za matangazo na picha mbalimbali. Pia ninaweza kukutangazia kupitia Paid ads kwa bei nafuu kwenye mitandao ya kijamii; FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM, NK

Huduma zangu hujumuisha pia usimamize wa Account zako za kwenye mitandao ya Kijamii.

Kazi Hii naipenda hivyo nafanya kwa ustadi wa hali ya Juu sana. Naomba mniunge mkono maana kipato kidogo ninachopata kinanisaidia kumudu Gharama za maisha Chuoni.

Aksante
0769278878
 
Back
Top Bottom