Kituo Kipo kigamboni Centre
Kina Mitungi Mitatu Inayofanya Kazi na Kimeshazoeleka Kwani Kinaendelea kutoa huduma kwa muda mrefu
Price:Milion 7 per month
Mkataba Rasmi ni miaka mitatu Mkataba...
Heshima kwenu wadau..
Kuna appartment zinapangishwa vituka, nyuma ya airport karibu na Kwa jimmy au Ikizu Motel..
Nyumba ni nzuri kwa bachelor maana ni Chumba master na sebule yake + jiko
Zipo...
Habar watu wa JF.
Napenda kuwatangazia kwamba natengeneza Crips za ndizi,mihogo na viazi,tambi za dengu (za pilipili na zisizo na pilipili), chaulo na karanga za mayai.
Bidhaa hizi nauza kwa bei...
Viwanja vinauzwa bei nzuri kabisa.Vinafaa kwa makazi na kuna umeme na maji karibu.Viwanja vipo
Mkoa wa kilimanjaro: Boma Ng'ombe na KIA
Mkoa wa Arusha KIKATITI,na King'ori
Mkoa wa Dar es Salaam...
Habari.....nipo Dar natarajia kwenda Mwanza kwa ajili ya Field kwa muda wa miezi miwili sina ndugu sina Jamaa wala Rafiki Mwanza nahitaji chumba ambacho nkitakuwa na kila kitu kwa bei nafuu....Cha...
Shamba lenye ukubwa wa Hekta 10 linauzwa, lipo Dar es salaam,Wilaya ya Ilala,Kata ya Msongola ,Eneo LA Mvuti ,lipo KM 2 kutoka Barabara ya Chanika Mbagala,lipo kando ya baraba ya Mvuti Dondwe...
Imberuzi Investment inawatangazia wakazi wa Dar es salaam na watanzania wote kutoa mafunzo ya kutengeneza mashine inayotumia mafuta ya taa kutotolesha vifaranga vya kuku.
Nakodisha gari kwa day trips na dreva ni mimi mwenyewe.
Napatikana dar es salaam. Mawasiliano 0715720757
Gari ni nyeupe, 4 doors na imefanyiwa service aina ya station wagon. Picha ziko hapo...
Iphone 6 bei 800,000
Iphone 6s bei 1,150,000
Iphone 6+ bei 1,150,000.
Iphone 6s+ bei 1,200,000
Iphone 5s 500,000
Kwa maelezo na mawasiliano nicheck kwa 0713239001
Baada ya kufanya utafiti wa kukufanya taarifa za Makampuni nchini, nimeamua kuwaletea orodha ya Makampuni nchini kwa gharama nafuu. Orodha Ina Makampuni 120000 Tanzania.
Orodha Ina:-
Jina la...
Samsung galaxy s6 imetumika kwa mwezi mmoja, ina sifa zifuatazo
RAM 3GB
Internal Memory 32 GB
Camera ya nyuma 16Mega pixel
Camera ya mbele 5 Mega pixel
Anadroid version 5 (unaweza ku update hadi...
Wadau ninafunga duka,nauza rasta na wivings zilizobaki kwa bei ya punguzo.
Rasta aina zote bei ya 1000(elfu moja tu} kwa pic moja
wiving zipo za kuanzia 8000(elfu nane) mpaka 10000(elfu kumi)...