ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Habari.....nipo Dar natarajia kwenda Mwanza kwa ajili ya Field kwa muda wa miezi miwili sina ndugu sina Jamaa wala Rafiki Mwanza nahitaji chumba ambacho nkitakuwa na kila kitu kwa bei nafuu....Cha kuishi kwa muda wa miezi 2...
Kiwe self....kiwe na Kitanda godoro na kila kitu niwe naweza kupika...nisipate tabu ya kuanza kununua vifaa vingine mimi iwe ni kutafuta chakula tuu kama kwa kupika au Lah....iwe karibu na Bugando au Seketule....Please nahitaji msaada wenu