BulamboTz
Senior Member
- Aug 28, 2016
- 120
- 134
Shamba lenye ukubwa wa Hekta 10 linauzwa, lipo Dar es salaam,Wilaya ya Ilala,Kata ya Msongola ,Eneo LA Mvuti ,lipo KM 2 kutoka Barabara ya Chanika Mbagala,lipo kando ya baraba ya Mvuti Dondwe, lipo Karibu na Mvuti Sekondari na Gereza la Dondwe,lipo karibu na Nguzo za umeme,halina zao lolote la kudumu,BEI= MILIONI 50,Atakayefanikisha kupatikana MNUNUZI atapewa MILIONI 10.Wasiliana nasi kwa Simu 0655 562 854+0769 784 640