Tunakopesha piki piki na bajaji kwajili ya biashara

VKP investment ni Realt estate Company iliosajiliwa Na inatoa huduma mbalimbali ikiwemo uuzaji Na ukopesgaji WA mashamba viwanja ujenzi sasa inakuletea huduma mpya ya bodaboda Na Bajaji. Huhitaji dhamana. Unatakiwa Tu kua mwanakikundi chochote kinachotambulika kisheria au kimtaa.
Office zinapatkana mbez bich Tank mbovu jirani Na Jengo la Mbez Park au mkabala Na sheli ya Puma.
Au tupigie 0712183055/0757783401
Nyote mnakaribishwa

Mkuu bajaj ni Tsh, ngapi???
 
Inabidi kwanza mtoe maelezo ya kutosha huko kwenye kikundi kukoje kwa ujumla wake, alafu mchunguzwe na taasisi kuhusu huduma zenu...then kama MNA nia njema nami nitawaunga mkono kuwatangaza buree!... Maana mtaokoa vijana wengi sana, siku hizi hadi wazee wanapiga boda boda kwahiyo mtaamsha nguvu kazi zote
 
Kwa mkopo huu, piki pik ya Bajaj-Boxer inayouzwa kwa sh milioni mbili na laki tatu, kwenu mteja atauziwa si chini ya m3.5! Bisha!
 
Mkuu nijambo jema kama ungeweka kiwango cha marejesho yani utaratibu mzima wa kurehesha ili mtu atakae kutafuta ajua mtiririko mzima.
 
List nikubwa wapendwa ningum kuorodhesha maelekezo yote hayo ILA mwenye Whatsapp akinitafuta 0757783401 nitamrushia maelekezo.
Acha uvivu toa mchanganuo huo muda wa kupokea cm si ungetueleza A to Z ili mtu akupiga cm anajua anachohitaji
Ebu tupe na bajeti ya vocha bana ebo jitangaze vizuri watu tuibuke maofisin
 
hao vkp ni wapigaji maelezo wanayokua hapa ni tofauti wanayotoa mkiwa private, walitangaza viwanja nikafenda kwenye kiofisi chao pale t/bovu ila terms ni tofauti na wanazotoa huku
 
hao vkp ni wapigaji maelezo wanayokua hapa ni tofauti wanayotoa mkiwa private, walitangaza viwanja nikafenda kwenye kiofisi chao pale t/bovu ila terms ni tofauti na wanazotoa huku
kweli kuweka tangazo Jf si mchezo
 
Inaonekana kama wewe sio mfanyabiashara, watu wanaomba details ili wajue waanzie wapi, wewe unaleta mambo ya kukwepa maswali.
Hao wanaouliza ndio haohao wateja wenyewe na hata kama sio hao basi ni ndugu au rafiki atahitaji...
Au ulikuwa unabeep watu uone kama watapiga... Marketing haipo hivyo kama umeamua kufanya marketing jua na kujieleza ndugu.
1. Watu wanataka kufahamu kama hawana Vikundi ni utaratibu gani unatumika
2. Kama mtu anataka bajaj au pikipiki document zipi zinahitajika
3. Mkopo utachukua muda gani kurudisha (marejesho)
4. Wadhamini wangapi wanahitajika, document zipi zinahitajika, dhamana za aina gani nk.
Jielezee kwa umakini sio kila mtu ni kama mtoto mdogo ambae anataka kubuluzwa.
 
Kweli kiswahili kigumu huyu mleta mada ameambiwa atoe mchanganuo wote

Kuanzia bei zote za pikipiki na bajaji pamoja na asilimia za marejesho kulingana na maafikiano na mteja

Anaanzisha maswali na majibu

Cha kufanya weka taarifa zote za mikataba humu jukwaani then wateja watachanganua

Maswala ya kuja ofisini ni uoga wa kibiashara au kuna uswahili kuzidiana kete
Mwenye nia akiona bandiko hapa litakalo mridhisha ndio atakaye kuja ofisini
 
How come iwe ngumu kuweka mchanganuo hapa , lakini iwezekane kwa whatsapp?

Pili... Malipo na marejesho na riba vyote vipo katika mfumo wa percentage. Kwa mfano: mimi ninakopesha Pikipiki aina ya SanLG yenye thamani ya tshs 2,000,000/- na mkopeshwaji atatakiwa kuwa na mali yenye thamani ya zaidi ya 2m, na atatakiwa kulipa
10% kila mwezi na atatakiwa kukamilisha mkopo wake ndani ya mwaka 1.

Huo ni mfano tu. Inamaanisha

10% x 12=120%

Kwa hiyo riba yangu hapo ni 20% kwa kila mkopo
 
5579cbac598690c4c058b55685abf2c1.jpg


Nimekutana na hii chat ya hawa jamaa wa VKP Investment mahali leo nikasema nishee na wadau. Hawa jamaa ni matapeli yaani pikipiki (Fekon) ya 1,650,000/= wanakopesha kwa 2,676,000/=
Hatareee..


Kuleni ubuyuu..
 
VKP investment ni Realt estate Company iliosajiliwa Na inatoa huduma mbalimbali ikiwemo uuzaji Na ukopesgaji WA mashamba viwanja ujenzi sasa inakuletea huduma mpya ya bodaboda Na Bajaji. Huhitaji dhamana. Unatakiwa Tu kua mwanakikundi chochote kinachotambulika kisheria au kimtaa.
Office zinapatkana mbez bich Tank mbovu jirani Na Jengo la Mbez Park au mkabala Na sheli ya Puma.
Au tupigie 0712183055/0757783401
Nyote mnakaribishwa
Mie Nahitaji bajaji mchakato mzimaa umekaaje weka mambo wazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom