Nakodisha Gari aina ya mitsubish outlander

josh2724

Member
Jan 8, 2015
9
4
Nakodisha gari kwa day trips na dreva ni mimi mwenyewe.

Napatikana dar es salaam. Mawasiliano 0715720757

Gari ni nyeupe, 4 doors na imefanyiwa service aina ya station wagon. Picha ziko hapo chini.

.
cf225f852d9a5ebbbf6a2d03d2c0721d.jpg

Bei 70 tsh kwa siku
 
Ingekua vizuri ukaweka na bei zako ili kurahisish zaidi na masuala mengi.
Na je nikitaka kudrive mwenyewe? Bei?
 
Weka bei mkuu.... nikikufuata kwenye simu inamaana nimeshafanya maamuzi
 
Chunga usijekodishwa ukachekelea kumbe yono auction mart yard direct
 
Nakodisha gari kwa day trips na dreva ni mimi mwenyewe.

Napatikana dar es salaam. Mawasiliano 0715720757

Gari ni nyeupe, 4 doors na imefanyiwa service aina ya station wagon. Picha ziko hapo chini.

.
cf225f852d9a5ebbbf6a2d03d2c0721d.jpg
Watafute Uber utafanya kazi nao
 
Nakodisha gari kwa day trips na dreva ni mimi mwenyewe.

Napatikana dar es salaam. Mawasiliano 0715720757

Gari ni nyeupe, 4 doors na imefanyiwa service aina ya station wagon. Picha ziko hapo chini.

.
cf225f852d9a5ebbbf6a2d03d2c0721d.jpg

Bei 70 tsh kwa siku

Ungelitegeshea pale njia panda ya ' Segerea ' Mkuu wale ' Ndugu ' zetu wanaoongoza kwa kupeleka ' Misiba ' Vijijini Kwao na wana ' Mipesa ' yao huku njia nzima wao huwa ' wanagambeka ' tu wangelikodisha hata kwa Tsh 200,000/=.
 
Nakodisha gari kwa day trips na dreva ni mimi mwenyewe.

Napatikana dar es salaam. Mawasiliano 0715720757

Gari ni nyeupe, 4 doors na imefanyiwa service aina ya station wagon. Picha ziko hapo chini.

.
cf225f852d9a5ebbbf6a2d03d2c0721d.jpg

Bei 70 tsh kwa siku
Mkuu hiyo kwenye picha ni airtrek na si outlander
 
oyo jaman jamaa kaleta biashara yke lakin watu wa humu duuu mnadharau sana khaa bora tumshauri apunguze bei sio kwa kumkata hiv
 
Ni outlander aitrek boss. Ingia google ujue.
Mzee hakuna gari inayoitwa hivyo labda yako kama ni special order with your own specifications! As far as i know outlander na airtrek ni products zinazojitegemea, tutumie picha ya hiyo gari yako kuthibitisha maneno yako...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom