House4Rent Room master kisasa Dodoma inapangishwa

Jan 18, 2017
77
12
Sallam..wanajamvi nna deal motomoto mwenye uhitaji wa chumba master ipo maeneo ya kisasa Dodoma mjini ipo ndani ya fence na ina tiles ..gypsum na madirisha alluminium maji na umeme uhakika inahitaji 80000 kuanzia miezi minne..
NB..nime shindwa chukua picha kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu
 
Mimi nipo Dar naomba kujua fremu za maduka ya vyakula au huduma ya Mpesa na tigo pesa ni shilingi ngapi. Ninampango wa kuhamia huko
 
Bila picha utakua ni sawa na unataka kuuzia mbuzi kwenye gunia, mtu achukue akifika kwake akute kumbe sio mbuzi ni fisi
 
Yaani ile mtaa yenye biashara kwa sana mku
Kwa sehemu ya biashara ya mpesa na tigo pesa ni stendi ya mkoa panakufaa nadhani ila kwa chakula ni maeneo ya soko la majengo ndiowengi hutaka nafasi kule..ila pia hata mpesa panafaa pia ..ukiwa tayari nijulishe nianze mchakato
 
Vipi kuleChang"ombe Dampo,stand ya Kondoa fremu zipo!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom