Nauza geto Songea

Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,558
2,698
Wakuu,

Ni geto nimeishi wiki mbili, lina kitanda kipya, godoro dodoma jipya nchi 6, 5 by 6, kiti na meza na vifaa vya toilet, geto pia kama unataka uhamie lipo Songea town kabisa barabara kama umetoka stand ya kati kuelekea Mfranyaki karibu na zile bumps wanaita kwa wachonga vinyago, kwenda stand ni dk 5 kutembea ni nyumba mpya self contained with water supplied 24/7 na umeme tunashare luku mtu tatu, usalama full kwa mwezi ni elfu 50.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom