Vp kiongozi,uliishapata soko?Wakuu,
Habari ya kazi. Naomba kujua wapi napata soko la uhakika la pembe za ng'ombe? Aliye na contacts naomba anipatie.
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Tougher
Unazo kama kiasi gani na bei yako ni gani ??Wakuu,
Habari ya kazi. Naomba kujua wapi napata soko la uhakika la pembe za ng'ombe? Aliye na contacts naomba anipatie.
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Tougher
Unazo kama kiasi gani na bei yako ni gani ??