mchushi
JF-Expert Member
- Dec 23, 2012
- 216
- 98
Kama inavyosomeka nina hiyo hela iko tayari kwenye mfuko wa shati natafuta laptop aina yeyote lakini iwe angalau na sifa hizi ;battery capacity not less than 3hrs,RAM not less than 2GB processor intel core i3 and above/au naweza chukua hata below core i3 kutokana na condition yake na HDD not less than 500GB.....kama ni tablet basi angalau ikaribiane na sifa hizi....iwe ya Samsung/Xiaomi/LenovoYoga/Nexus/LG with RAM not less than 2GB and internal at least 32GB kama uko interested nicheck moja kwa moja
0656166717 niko Dodoma mjini.
0656166717 niko Dodoma mjini.