Chumba master na sebule 250,000/=

mfetere

JF-Expert Member
Feb 27, 2014
251
94
Habari wadau nyumba inapangishwa mbezi beach mita mia kutoka barabara kuu ya bagamoyo ni chumba master na sebule ipo ndani ya fensi ni nzuri sana usalama upo bei laki mbili na nusu kwa mwezi karibuni sana [HASHTAG]#0714787795[/HASHTAG]
ffc9d6fc74e0ca2cf9cb9db9cd488562.jpg
2c8bbca8fc6066b0dee5b9eea477dca4.jpg
a887ac6f9630f98878bf9db52f258e6e.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom