Bati za migongo midogo za rangi

JMK ROYAL SERVICES

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
226
83
Mabati migongo
a9744e139a406e3cb2e045670c7bd8e0.jpg

midogo(corrugated)upana wa 86cm ya rangi

gauge28 ni 8,700/meter

gauge30 ni 7,600/meter

-Material aluzinc
-Rangi,green,brick red,charcoal gray,b-white,blue,sea blue,tile red, etc
-Urefu utakao ww kuanzia meter moja mpaka 12meter kwa bati moja.
-Warranty 15 years kwa it5,it4 na versatile na 60 years kwa naturalstone coated
-Yamethibitishwa na tbs
-Utapata mzigo ndani ya masaa 24 baada ya kulipia,
-Tupo kwa ajili ya kukupunguzia gharama na usumbufu
Tupo mikocheni pembeni na mayfair plaza
0656816616,0713637508
,0766004940,0753637508 0656816616,0713637508
,0766004940,0753637508
 
urefu wa bati za kawaida kama hizo za migongo midogo huwa ni meter ngapi au cm ngapi?
 
Mabati migongo
a9744e139a406e3cb2e045670c7bd8e0.jpg

midogo(corrugated)upana wa 86cm ya rangi

gauge28 ni 8,700/meter

gauge30 ni 7,600/meter

-Material aluzinc
-Rangi,green,brick red,charcoal gray,b-white,blue,sea blue,tile red, etc
-Urefu utakao ww kuanzia meter moja mpaka 12meter kwa bati moja.
-Warranty 15 years kwa it5,it4 na versatile na 60 years kwa naturalstone coated
-Yamethibitishwa na tbs
-Utapata mzigo ndani ya masaa 24 baada ya kulipia,
-Tupo kwa ajili ya kukupunguzia gharama na usumbufu
Tupo mikocheni pembeni na mayfair plaza
0656816616,0713637508
,0766004940,0753637508 0656816616,0713637508
,0766004940,0753637508
Mkuu JMK Kuna tatizo LA kupauka kwa bati hata hazijafika miaka saba na ushaidi ninao hapa nyumbani Kwangu madale sijui kwa upande wenu.
 
Ntafute ntakuonesha tofauti mkuui,
Baadhi ya vifaaa vikuwezesahvyo kujua ubora wa bati,ugumu wa batu,uimara wa rangi(coating),n upaukaji wa bati.
1.COATING THICKNESS TESTER
hii hutumika kujua ujazo wa rangi katika bati na kadri unavyosoma kiwango cha juu ndo uile bati limejaaa rangi na uoaukaji wake unakuwa mgumu inaeza soma kwanzia moja au 2 au3.2 kama hapo kwenye picha imaishiria rangi imekuwa coated ya kutosha

2.HD MAGNIfIER
hii inakuwa na lesn ambapo unasogeza kipande cha bati lako kwa karibu la likionesha kwa ubora ule ule bila kufifia kwa maana lens ipo karibu bac hilo bati ni imara kwa rangi ilivyopigwa haipotei ata lens ikiwa karibu ila ambalo halijapigwa rangi vizur litaonekana likefifia

3.IMPACT ELASTICITY TESTER
hiki kifaaa kinatumika kupima utobokaji wa bati kulingana na gauge yake na ugumu wa bati,kinawekwa kipande cha bati chini alafu kinabanwa kwa juu inakuwa na jiwe la chuma limechongoka linaachiliwa alafu linagonga kile kipisi cha bati kikiyoboka bac bati c imara sana

4.SOLVENT RUB TESTER
hii hutumika kupima urahisi wa upaukaji wa bati,inawekwa solvent requid alafu inakuwa nakipande cha bati chini yake inasetiwa mda kipande kikitoka rangi hilo bati c imara kwa rani
f350b1626eac510d15ee8b05a2ba5cb9.jpg
 
Nataka bati 90 mingogo midogo shilingi ngapi?za rangi ya blue na za kawaida zipo..na kama zipo bei ngani? Kwa bado futi 10 njo pm.
 
Njoo whatsapp 0656816616

Mkuu jifunze kutoa mrejesho hapa hapa. Na mimi naweza kuvutiwa au mwingine mkafanya biashara. And don't assume kwamba kila mtu ana wattsup. Wewe provide requested info. Kama ni mfanya biashara ataomba mawasiliano. Au unaweza mpa number ya wattsup kama bonus.

Halafu kama biashara ni legit na unajiamini na quality ya product yako... you don't have to worry of anything or anybody. Daima binadamu anafuata ubora. Kama kitu ni kizuri. No matter what, you will get customers.
 
Word......maana mambo ya kutoweka uwazi yanaleta ukakasi ilihali alishatangaza biashara
 
Wekeni hapa ili wengi tujue,mambo ya PM ya nn wakati umeamua kutangaza biashara
Ushawekewa bei,ushawekewa picha,unajibiwa maswali,alfu mteja mwenywe kasema pm,ya nn kuweka hapa ,nahisi kioa mtu maamuzi yake yaishimiwe tu wala hioi sio jambo la umma kama mtu anataka order yake kila mtu aone,au ajue location alipo
 
Mkuu jifunze kutoa mrejesho hapa hapa. Na mimi naweza kuvutiwa au mwingine mkafanya biashara. And don't assume kwamba kila mtu ana wattsup. Wewe provide requested info. Kama ni mfanya biashara ataomba mawasiliano. Au unaweza mpa number ya wattsup kama bonus.

Halafu kama biashara ni legit na unajiamini na quality ya product yako... you don't have to worry of anything or anybody. Daima binadamu anafuata ubora. Kama kitu ni kizuri. No matter what, you will get customers.
Me siko huko ndungu nafikiri mwenye alishakuja whatsapp tushaelewana na si vixuri kumsemea kama ulivyosema kam kitu ni quality haitajalisha ata nisipoweka hapa haitakibadilisha,mfano kipi kilichofichwa unahisi hakiongeleki whatsapp au alichoouliza mdau hapo kunaprove ubora?si kila kitu jamii forum kinahitaji siasa hii ni bus ess sisi tumechagua kuendesha hivyo.unapokosoa kisa mtu kasema nimfate pm tatzo liko wapi mkuu,au alichoouliza ata ukingali amaelezo ya post yanajitosheleza na picha zipo can they prove anything to you my brother,in quality as said,
 
df5b38c2c3a4501c64babfae59ce034a.jpg

cfebc1e264f0a2f37a21d4d15fd0e8a6.jpg

What else hapo ulichoona aint ligth,alichoouliza chote kiko hapo kaa upo makini utajua,so kosa la kusema aje whatsapp ni lipi,hapo kipi kimefichwa,au business kuwa ligth,tujifunze kuheshimu kazi za watu
 
Me siko huko ndungu nafikiri mwenye alishakuja whatsapp tushaelewana na si vixuri kumsemea kama ulivyosema kam kitu ni quality haitajalisha ata nisipoweka hapa haitakibadilisha,mfano kipi kilichofichwa unahisi hakiongeleki whatsapp au alichoouliza mdau hapo kunaprove ubora?si kila kitu jamii forum kinahitaji siasa hii ni bus ess sisi tumechagua kuendesha hivyo.unapokosoa kisa mtu kasema nimfate pm tatzo liko wapi mkuu,au alichoouliza ata ukingali amaelezo ya post yanajitosheleza na picha zipo can they prove anything to you my brother,in quality as said,

Bro,

I did not criticize you or your business. Ilikuwa ni angalizo tuu Kiongozi. Kama nimekukwaza kwa namna yoyote ile, I am very sorry. Sikuwa na nia hiyo.

Asante.
 
Me siko huko ndungu nafikiri mwenye alishakuja whatsapp tushaelewana na si vixuri kumsemea kama ulivyosema kam kitu ni quality haitajalisha ata nisipoweka hapa haitakibadilisha,mfano kipi kilichofichwa unahisi hakiongeleki whatsapp au alichoouliza mdau hapo kunaprove ubora?si kila kitu jamii forum kinahitaji siasa hii ni bus ess sisi tumechagua kuendesha hivyo.unapokosoa kisa mtu kasema nimfate pm tatzo liko wapi mkuu,au alichoouliza ata ukingali amaelezo ya post yanajitosheleza na picha zipo can they prove anything to you my brother,in quality as said,
Nitakutafuta soon mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom