D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,193
- 3,324
Karibuni mashuka yenye mapazia kwa sh.80,000/-
Mapazia mawili ina maana ni dirisha moja, sasa chumba chenye madirisha mawili inakuwaje?Mashuka mawili mapazia mawili foronya nne
fanya mapazia manneMashuka mawili mapazia mawili foronya nne
Swali nililomuuliza limelenga hapo.fanya mapazia manne
una akili sana wewe huu unene tu unatutenganisha ila kiroho tupo pamojaMapazia mawili ina maana ni dirisha moja, sasa chumba chenye madirisha mawili inakuwaje?
unanifanya nijisikie vibaya. usiwe unasema hivyo.una akili sana wewe huu unene tu unatutenganisha ila kiroho tupo pamoja
Karibuni sana wapendwa wateja kwa mapazia mita 1.5 ni 45,000/- urefu mita 3fanya mapazia manne
Mapazia mawili ina maana ni dirisha moja, sasa chumba chenye madirisha mawili inakuwaje?
Kwahio dirisha moja 90,000/- madirisha mawili 180,000/-.Karibuni sana wapendwa wateja kwa mapazia mita 1.5 ni 45,000/- urefu mita 3
kwaniniunanifanya nijisikie vibaya. usiwe unasema hivyo.
Mkulima hachagui jembe....mimi mkulima.kwanini
ila sikuamini siku hizi unavopendwa humu sidhani kama hujasajiliwa mahali yaaniMkulima hachagui jembe....mimi mkulima.
aisee....tuongelee mapazia hapa....nichagulie rangi hapo ninunue.ila sikuamini siku hizi unavopendwa humu sidhani kama hujasajiliwa mahali yaani
Mimi sikuelewi kidogo. Mapazia na mashuka bei 80,000. Pazia moja peke yake 45,000. Fafanua kama mfanyabiashara serious.Karibuni sana wapendwa wateja kwa mapazia mita 1.5 ni 45,000/- urefu mita 3