abelexpeditor
Member
- Jan 27, 2017
- 67
- 30
MAKE YOUR CHILD GREAT!
KONGAMANO……..KONGAMANO……….KONGAMANO
Ndugu Watanzania, MWANAFUNZI CLINIC kwa kushirikiana na WAPO MISSION tunawaletea kongamano kubwa la kielimu, 24 June, 2017.
SI LA KUKOSA. KWA NINI.
• Magwiji na wataalamu waliofanikiwa ktk taifa hili-katika Nyanja mbalimbali- Udaktari, Uhandisi, Sheria, Uchumi,Ualimu, uhasibu, Uongozi ,Biashara na ujasiliamali, Bankers, C.E.Os, Celebrities, Psychologists n.k watazungumza na wanafunzi wa Kitanzania namna na jinsi walivyofikia mafanikio ktk fani zao.Hii itatoa fursa kwako mzazi na mwanao(mwanafunzi) kupata uelewa mkubwa wa namna ya kumsaidia mwanao kufanya uchaguzi sahihi wa anataka kuwa nani na namna ya kuifikia ndoto hiyo
• Tanzania Best students/Tanzania one-Watakuwepo kuzungumza na wanafunzi wenzao njia walizopitia mpaka kuweza kuwa vinara wa masomo na mpaka kufikia kuongoza kitaifa. Si hao tu, wazazi wao watakuwepo, kuelezea walivyosaidiana na watoto hao kuwafanya vinara hii itakusaidia wewe mzazi kuweza kumsaidia mwanao kupata msingi bora ktk masomo yake na ndio msingi wa kufikia ndoto yake maishani.
• Magwiji wa Mathematics, English na Science watakuwepo kueleza mbinu za kuyamudu masomo hayo
• Mabalozi toka nchi za nje watakuwepo kueleza namna na njia ambazo mataifa yaliyoendelea yametumia kupiga hatua za maendeleo
• Mawaziri, viongozi wa serikali, dini watakuwepo
• Wamiliki wa shule, walimu magwiji, nao watakuwepo
• NGOs zinazofanya kazi ktk sekta ya elimu zitakuwepo
NI Tukio Lako Wewe Mzazi Pamoja Na Mwanao Kuifanya Likizo Ya Mwaka 2017 Kuwa Mwanzo Wa Safari Ya Mafanikio Kwa Mwanao, Familia Yako, Taifa Na Dunia.
NINI KIFANYIKE- WASILIANA NASI-0653 234010, Endelea Kufutailia mfululizo wa matangazo yetu kupitia WAPO RADIO FM 98.1 . Tembelea tovuti yetu www.mwanafunziclinic.com. Matangazo pia yatatolewa kupitia vyombo vingine vya habari.
KIINGILIO!.. ni tukio la siku nzima, utachangia chakula na kiingilio kidogo tu….Kwa mwanafunzi(mototo) TZS 20,000 na MZAZI/MTU MZIMA ni TZS 25,000 TU.
UKUMBI: BCIC- Mbezi Beach
Watu zaidi ya Elfu nne Kuhudhuria.
Wajulishe na wengine/sambaza kwa wengine: