Fundi umeme
Senior Member
- Jun 17, 2016
- 116
- 23
Habarini wana jamii wenzangu natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kuanzia ubungo adi kibamba jinsi nyumba navyotaka iwe iwe na chumba kimoja cha kulala self na sitting room kubwa na jiko bajeti yangu ni 80,000 mpaka 100,000 kwa mwezi na uwezo Wang ni kulipa miezi yoyote ila isizidi miezi sita cont: 0715/0753 505115.
N:b
Sihitaji dalali sina hela ya mwezi mmoja labda kama atalipwa na mwenyenyumba.
N:b
Sihitaji dalali sina hela ya mwezi mmoja labda kama atalipwa na mwenyenyumba.