dagaa wa kigoma

ilakiso

Member
Mar 13, 2017
11
1
karibuni kwa waliopo dar es salaam, nauza dagaa wa kigoma wazuri wasio na mchanga kwafungu ya 2500, 5000, na 10000 kwa anaehitaji piga simu 0654574224, 0764192746.
napatikana buza sigara, na pia nafanya delivery.
KARIBUNI SANA
 
Mkuu watu wakiwa wanatangaza Biashara huwa wanatupia picha zaidi ya Moja humu ndani, hii inasaidia Bidhaa kuonekana vyema
 
Fungu ndio nini?

Unapaswa kutaja kiwango maalum labda gram 200 au 600, kutaja Kiwango rasmi cha Fedha na kiwango cha bidhaa kutaja kihuni eti 'Fungu' ni uhalifu wa Kibiashara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom