Vifaranga aina ya Kuroiler

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Jul 10, 2011
4,176
6,233
Wadau heshima kwenu.
Natafuta msambazaji 'authorised dealer' ili aniuzie vifaranga genuine aina tajwa hapo juu. Nataka wakala maana sitaki kununua vya mtaani ambayo unakata vipo kwenye stage ya F15 mimi nataka angalau F2-F4 ili nipata mayai ya kutosha pindi watakapoanza kutaga. Asanteni
 
Ukipata nijulishe na mm mkuu nahitaji walau 200 au 300.
 
Mkuu Saju b wala usiahangaike kutafuta hiyo mbegu hapa nchini, wanojiita wauzaji wa kuloiler hawajui hata F2 na F4 ndio nini.
Binafsi nimehangaika bila mafanikio ila inshallah hadi August nitakuwa nimepata, nimeamua kuwa "smuggler" hakuna jinsi!
 
Wadau heshima kwenu.
Natafuta msambazaji 'authorised dealer' ili aniuzie vifaranga genuine aina tajwa hapo juu. Nataka wakala maana sitaki kununua vya mtaani ambayo unakata vipo kwenye stage ya F15 mimi nataka angalau F2-F4 ili nipata mayai ya kutosha pindi watakapoanza kutaga. Asanteni
Kama uko dar waone kampuni inaitwa AKM Glitters
 
Mkuu Saju b wala usiahangaike kutafuta hiyo mbegu hapa nchini, wanojiita wauzaji wa kuloiler hawajui hata F2 na F4 ndio nini.
Binafsi nimehangaika bila mafanikio ila inshallah hadi August nitakuwa nimepata, nimeamua kuwa "smuggler" hakuna jinsi!

Mkuu [HASHTAG]#Ndebile[/HASHTAG] kesho nitakuja PM tuyajenge
 
Sawa mkuu, je unauzoefu nao hao jamaa? F2 inapatikana kwao au ndo wale wale mkuu? Samahan nauliza nataka kujua zaid
Mimi sio mtaalamu wa kuku ila nawajua tu hao wanafanya hiyo biashara na wana mradi wa ufugaji mikoa ya kati na kanda ya ziwa..
Ngoja kesho nitakupa namba ya mhusika mmoja wapo pale
 
Back
Top Bottom