Nahitaji azam tv king'amuzi na dishi lake

Mjasiria Akili

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
823
372
Kichwa cha habari kimejieleza nahitaji hicho king'amuzi kwa bei ya wastani, mpya imenishinda vya promo bado.
 
Azam king'amuzi + dish 75,000/= lakini kimelipiwa tarehe 28 February 20,000/= so inabidi irudishwe na kufanya Jumla 95,000/=. Dar. pm kwa mawasiliano.
 
Watu wamekaa kitapelitapeli tu, kitu kidogo tu lazima wakuitie PM ili ukatapeliwe kisirisiri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom