Bei za matanki ya maji Dar au Moro

BASHADA

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
513
148
Wakuu heshima kwenu. Nahitaji kujua bei za matanki ya maji kwa Dar au Moro kwa size tofauti tofauti na makampuni tofauti ili nijibalance kwa mpunga wangu kidogo nichukue size gani na kampuni gani. Mimi siko Dar ila itabidi nifanye mpango na wenye magari wanaopeleka mizigo Dar wanaporudi warudi nayo.
Natanguliza shukrani, tupeane taarifa
 
Back
Top Bottom