Shida ya msichana wa kazi ( dada wa nyumbani)

Jaslaws

JF-Expert Member
May 31, 2011
6,016
5,294
Kwema wakuu!?always jf has been my second home..Leo tumeamka asubuhi na surprise ya Dada, ameamka anaaga unataka kutimka kurudi kwao na anasema mwisho j5,wakuu Mimi nna mtoto mchanga nimepambana vya kutosha kupata mdada within hizi siku kiukweli nmeshindwa,
Naomba km kuna ndugu humu ndani mwenye msichana wa extra anisaidie,au kma kuna MTU kwa Namba yoyote anaweza kunisaidia,Nanchanganyikiwa!
 
hbr,kuna MTU umu ana Uzi unaohusisha ii mamb ya Dada wa kazi,wanareqruit afu wanawaleta kwa watu,..security IPO pia Kama akiiba wanalipa kampuni,nikikumbuka nkujuza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom