Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,051
Habari, Shimso Foods inawaletea huduma ya vitafunwa aina zote kwa wakazi wa dar na vitongoji vyake
[emoji364]Vitumbua 300
[emoji364]Chapati 500
[emoji364]Kachori 300
[emoji364]Maandazi 300
[emoji364]Bagia za kunde 250
[emoji364]Bagia za dengu 300
[emoji364]Sambusa za nyama 500
[emoji364]Visheti 200
[emoji364]Karanga za Mayai 500
[emoji364]Pan cake 300
Vyote unaletewa popote ulipo, minimum ni vitafunwa 100, na unaruhusiwa kuchanganya
[emoji338]0714547830
Tunawatakia mfungo mwema