Bar na Restaurant daraja la kigamboni- Natafuta partner au mpangaji

J Tha Dj

New Member
Jun 4, 2017
3
3
Natafuta mfanyabiashara tushirikiane kwenye bar na restaurant yangu pale daraja la Kigamboni. Imekamilika kwa kiasi cha 85%. Ipo kwenye barabara kuu kama hatua 100 baada ya sehemu ya kulipia magari. Kuna eneo kubwa LA parking, kujenga car wash na kuweka michezo ya watoto.
Kama upo interested nicheki kwa namba 0657217441 tuongee biashara.
Kama mtu akitaka kuikodi aendeshe mwenyewe pia inawezekana.
 
Hilo eneo ni lako kisheria? na limetengwa kwaajili ya shughul hizo? kwa maelezo yako inaonesha hilo eneo ni kubwa isije ikawa eneo la waz la serikal coz tumechoka kuvunjiwa vibanda vyetu vya biashara ndan ya jiji hili.
 
Darajani Bar,Restaurant and Guest House.....ukifanikiwa hiyo PPP napendekeza hilo jina.
 
Ndio maana nimeweka namba ya simu. Yeyote ambaye yupo interested anaweza kunitumia meseji au whatsapp kwa taarifa zaidi
 
Back
Top Bottom