Head: Mkopo(unaolipa madeni) rahisi na wa haraka sana

edger jairos

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
335
71
Hii offer ni kwa watumish wa umma(watumish wa serikali) ,halmashauri...n.k
Hii ni company mpya APA dar HQ zipo posta mpya
Uzur wa hii kitu unaweza kukopeshwa hata ukiwa na madeni..Kwenye taasisi za FEDHA. Makato yetu yanaisha KWA mda mfupi unaweza kuongeza pesa. ..au kufuta MKOPO kirahisi. Pili. Mkopo wetu Una bima nzuri mtumish akifukuzwa kazi hatosumbuka..Makato na riba ni KWA mwezi..
Huitaji mdhamini wala dhamana, amana wala kuweka pesa..
Piga sasa 0713099309/0783995659
Jina:jonace January ,afisa mkopo
E-mail:ederjairos04@gmail.com
,kupata maelekezi zaid ya mkopo.
IMG_20170530_173423.jpg
IMG_20170530_173423.jpg
IMG_20170530_173156.jpg
 
kopa kwa maendeleo mkuu
Mkuu, kopa wewe uendelee. Yes nayahitaji maendeleo ila sio kwa njia ya kukopa. Nilishakopaga huko nyuma, nimejionea faida na hasara za mikopo... Kukopa ni kumzalishia mtu huku yeye kakunja nne, then unampa mtu huyo access ya kuyafuatilia maisha yako as if wewe ni mtumwa wake... Kama huna sababu ya msingi ya kukopa, sikushauri ukakope!
 
Nimewapendea hapo tu!
Ila mie nilishaapa, siku nikionekana nimeenda kukopa kwenye taasisi yeyote ya kifedha, nichinjwe na msumeno! Kukopa ni kuongeza matatizo...
Mkuu, Acha tu, acha, leka tiki mleu, nimekoma, najuta, yaani hizi taasisi za mikopo ni shida, mshahara laki sita, unakopa makato unakatwa laki tatu, umekopa ml10 unalipa miaka 5, sasa Fanya hiyo laki3 Mara miaka mitano, Nimeshaapa, nikimaliza mkopo nikikopa tena nichinjwe kwa msumeno mdogo wa kukatia chuma
 
kukopa sikushauri mtumishi, Mimi ninamkopo matata wanalamba 211+healb15%= 300+ wanafyeka!!

nikimaliza mkopo 2019-jan hawataniona tena.

nikiwa nahitaji hela kubwa kwa mpigo, ntakuwa naiandikia benki ikate hela kila tare 31, waiweke ktk akaunti ya mtoto baada ya muda nachukua hela nzuri.

wafanyakazi situkeni
 
Hii offer ni kwa watumish wa umma(watumish wa serikali)
Hii ni company mpya APA dar HQ zipo posta mpya
Uzur wa hii kitu unaweza kukopeshwa hata ukiwa na madeni..Kwenye taasisi za FEDHA. Makato yetu yanaisha KWA mda mfupi unaweza kuongeza pesa. ..au kufuta MKOPO kirahisi. Pili. Mkopo wetu Una bima nzuri mtumish akifukuzwa kazi hatosumbuka..Makato na riba ni KWA mwezi..
Huitaji mdhamini wala dhamana, amana wala kuweka pesa..
Piga sasa 0713098309/0783995659
Jina:jonace January ,afisa mkopo
E-mail:ederjairos04@gmail.com
,kupata maelekezi zaid ya mkopo. View attachment 517732View attachment 517733View attachment 517734
Riba ni asimilia ngapi kwa mwezi mkuu? Na unalipaje kwa muda mfupi kama source ni mshahara?
 
Swanajarbu now kueka Sawa swal LA kodi ili na wajasiriamali wawez kupat hudum lkn kwa sasa n hawa wa watumish wa serikal mshar WAP unapita hazina na kuhus riba ni kwa mwezi na mkpo n miaka mitano unadum riba ni 3.5%
 
Binafsi mikopo siiungi mkono sana kwa Nature ya riba zake za 50% at the end of huo mkopo.....Lakini kwa mishahara hii ya sasa na kwa serikal hii ambayo haijari watumishi tuambizane ukweli Bila [HASHTAG]#Kukopa[/HASHTAG] kwa maisha ya sasa [HASHTAG]#Kumiliki[/HASHTAG] nyumba yako hiyo ni ngumu hasa kwa hii #15% ya Heslb yani tumerudishwa nyuma sana na serikl hii ya awamu ya 5.....Imagine umepanga nyumba kwa mwezi unakatwa kodi ya 120,000/= au Zaid ukipiga kwa Miaka 10 utajikuta ni bora ungekopa na ukamiliki nyumba yako.....
 
Swanajarbu now kueka Sawa swal LA kodi ili na wajasiriamali wawez kupat hudum lkn kwa sasa n hawa wa watumish wa serikal mshar WAP unapita hazina na kuhus riba ni kwa mwezi na mkpo n miaka mitano unadum riba ni 3.5%
35% au 3.5%?
 
mimi nakopa saccoss tu za ofisini labda na vikoba sababu riba ni ndogo... na nami nafaidika...

sikopi bank yeyote ile hata iwejeee

Nimewapendea hapo tu!
Ila mie nilishaapa, siku nikionekana nimeenda kukopa kwenye taasisi yeyote ya kifedha, nichinjwe na msumeno! Kukopa ni kuongeza matatizo...
 
Mkuu, Acha tu, acha, leka tiki mleu, nimekoma, najuta, yaani hizi taasisi za mikopo ni shida, mshahara laki sita, unakopa makato unakatwa laki tatu, umekopa ml10 unalipa miaka 5, sasa Fanya hiyo laki3 Mara miaka mitano, Nimeshaapa, nikimaliza mkopo nikikopa tena nichinjwe kwa msumeno mdogo wa kukatia chuma
Duuuh!!! Umekopa bank gani mbona unalipa pesa nyingi mno? Umekopa 10m ila unalipa 18m, bank wanapata 8m za buree!!!!!

CRDB ukikopa 10m kwa miaka 5 unalipa 250,000 kila mwezi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom