Husika na somo tajwa hapo juu.
Simu ni original na haina shida yoyote zaidi ya nyufa kwenye kioo kwa pembeni ambazo hazionekani pindi utumiapo simu.
Simu ipo Dar ina ukubwa wa 32 GB na rangi ya...
Wakuu habar za muda, nauza hii laptop ni used kidogo lakini haina matatizo yoyte ni hp probook 6555b
RAM 4GB
INTERNAL STORAGE 250GB
PROCESSOR 2.3GHZ
PRICE 220,000/=
LOCATION DAR ES SALAAM
CONTACT
Wanabodi natafuta mtu wa kubadilishana nae laptop mimi natumia chromebook ila nataka mashine ya window so kwa yeyote aliye tayar anichek PM,
Mashine yangu haina tatizo lolote except spika imeanza...
Plot for SALE $ 122,000. Located at the heart of Arusha City along a very Prime and strategic Area known as Burka beside Mawala Estate . It is a corner plot of sq.m 1,077 with a title deed for...
Je una simu au mobile wi-fi , wireless router ?
Je inatumia SIM CARD ya mtandao mmoja tu?
je unataka itumie mitandao yote bila kubagua?
JIPATIE UNLOCK CODE KWA BEI NAFUU KABISA
POPOTE ULIPO...
karibu tuwekeze pamoja tukue pamoja timeless international ni ict company ipo arusha ina miaka zaidi ya saba tunakaribisha wawekezaji tuzungumze tukue pamoja visit or website at...
Habari waungwana,ninahitaji kufanya biashara ya mafuta ya kupakaa mwilini ambayo ninayatengeneza mwenyewe,lakini sijajua mahali ambapo nitaweza kupata vikopo kwa ajili ya kuhifadhia hayo mafuta...
Ram 2gb
Camera 13mp
Internal memory 16
Dual Sim
4G LTE
Bei:170,000
Mahali:Dar es salaam, Kigamboni
Haina tatizo la software wala hardware
Iko vizuri sana
For more details and pictures...
Habari Bandugu natafuta fremu ya biashara iwe maeneo ya Kimara, ubungo, au hata Tegeta kama sehemu itakuwa imetulia. nataka nianzishe biashara ya vyakula kama mamchele, mahindi, unga, ngano...
Habari wana JF,
Napenda kuitambulisha kwenu kampuni bora ya usafi iitwayo NEXTMARY,
Kampuni hii inaafanya usafi maofisini,viwandani,majumbani, Pia tunauza sabuni mbalimbali za kusafishia...
Wakuu, nauza mashine ya inveter. Ni ya Watt 300
Inveter ni mashine ( kifaa ) ambayo hufanya kazi ya kubadili volt 12 za betri ya gari na kuwa volt 220.
Hii yangu inatoa volt 220 za Watt 300. So...