Nauza Inveter yangu.

Tanki

JF-Expert Member
Apr 7, 2013
538
246
Wakuu, nauza mashine ya inveter. Ni ya Watt 300

Inveter ni mashine ( kifaa ) ambayo hufanya kazi ya kubadili volt 12 za betri ya gari na kuwa volt 220.

Hii yangu inatoa volt 220 za Watt 300. So unaweza kuwasha taa, tv, laptop n.k

pia inveter hii ukiiconnect kwenye umeme wa tanesco itarichaji betri lako liwe la gari au
pikipiki. So unaweza ukaitumia hii inveter kwa kuwachajia watu betri zao za pikipiki na za magari( fulsa hii )

bei ni 70,000 TU
Nipo Dar es salaam.

Hata kama upo mkoani ukiniamini naweza kukutumia ila pesa ya kutumia itabidi utume. Au mlete mtu nimkabidhi akuletee.

contact : 0629254697

voda 0759573839
 

Attachments

  • IMG_20170526_115016.jpg
    IMG_20170526_115016.jpg
    107.2 KB · Views: 47
  • IMG_20170604_211052.jpg
    IMG_20170604_211052.jpg
    95.9 KB · Views: 35
  • IMG_20170604_211132.jpg
    IMG_20170604_211132.jpg
    94.6 KB · Views: 34
Back
Top Bottom