Shushani Ngomeni
Member
- Nov 24, 2014
- 45
- 18
Habari Bandugu natafuta fremu ya biashara iwe maeneo ya Kimara, ubungo, au hata Tegeta kama sehemu itakuwa imetulia. nataka nianzishe biashara ya vyakula kama mamchele, mahindi, unga, ngano, kunde, maharage, nk. kimsingi iwe ni sehem ambapo wateja wapo watu wa kutosha wanaoweza kununua bizaa hizo. bei ya fremu iwe 100,000-150,000/. iwe karibu roadini kabisa. landlord awe tayari kupokea kodi kwanzia miezi 3.
ahsante wakuu. nawasalisha. Napatikana hapa +255 784230432
ahsante wakuu. nawasalisha. Napatikana hapa +255 784230432