the event
Member
- Nov 7, 2013
- 83
- 20
Wanabodi natafuta mtu wa kubadilishana nae laptop mimi natumia chromebook ila nataka mashine ya window so kwa yeyote aliye tayar anichek PM,
Mashine yangu haina tatizo lolote except spika imeanza kukoroma kidogo lakini wala sio tatizo kwa sababu nimeitumia kistaarabu,
Kwa wasio ijua chromebook kwa kifupi ni laptop za google ambazo zimetengeneza maalumu kwa ajili ya ku surf internet ndomana space yake wameweka ndogo,lakini inapiga kazi kama mashine nyingine,
Na kingine kikubwa ni kwamba mashine hii haikamati Virus,Na pia ina front camera.
Nilinunua 900k miezi 6 iliyopita
( NIPO DAR )
Specs

- Intel Celeron_867 Processor 1.3GHz
- 4 GB RAM
- 16GB Hard Drive
- 12.1-Inch Screen, Intel HD Graphics
- Google Chrome OS