Honda Acb,cb-125d inahitajika

Davooo

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
506
774
Wakuu nahitaji pkpk na kujua yafuatayo
1:Bei
2:ubora wake
3:upatikanaji wake
 
mimi ndio muuzaji wa honda tupo msasani, dar. namba 0717-518359. 0689-866100.

ace blue 4.jpg
 
Ungeweka na model na bei zake,ingekuwa rahisi kwa wanajf wengine kujua na kujipanga Kama wanahitaji[/QUOTE

mbona nina tangazo langu la honda lipo hapa hapa JF. we tafuta uzi wangu wa honda, utakuta aina zote za pikipiki za honda nimeweka hapo.
kwenye hii post nimemjibu mhusika ambaye keshasema anatafuta honda ace cbd 125. kwahiyo namsubiri anipe jibu kama tayari amepata sehemu nyingine au bado anajichanga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom