Natafuta pool table

router

Member
Mar 23, 2016
68
125
Habari wadau, natufuta pool table budget yangu ni tsh 400,000/- kwa alienayo tuwasiliane hp 0789934593.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,981
2,000
Habari wadau, natufuta pool table budget yangu ni tsh 400,000/- kwa alienayo tuwasiliane hp 0789934593.
Jitahidi sana ukae karibu na Walevi utaipata ya chini ya Bei yako hiyo uliyoipanga Mkuu. Usicheze mbali na Bar au Pub.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom