bottleneck Member Oct 13, 2016 43 13 Jun 7, 2017 #1 Anaye jua studio nzuri ya kurekodi nyimbo za gospel naomba anielekeze tafadhali nitashukuru sana
Galapagosi JF-Expert Member Apr 21, 2017 2,848 2,634 Jun 7, 2017 #2 Zipo nyingi sana mkuu ila inategemea na mfukoni. Ungetoa hata range ya kujua unahitaji studio zipi.
bottleneck Member Oct 13, 2016 43 13 Jun 7, 2017 Thread starter #3 Nitajie unazozijua na unielekeze zilipo