Ni wapi nitapata vikopo kwa ajili ya kuhifadhia mafuta?

Principle girl

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
1,675
Reaction score
1,755
Habari waungwana,ninahitaji kufanya biashara ya mafuta ya kupakaa mwilini ambayo ninayatengeneza mwenyewe,lakini sijajua mahali ambapo nitaweza kupata vikopo kwa ajili ya kuhifadhia hayo mafuta mwenye kufahamu ni wapi vinapatikana naomba anifahamishe.
 
Hongera, ila hujafafanua aina ya mafua
Maana yasije kuwa "mafuta ya ubuyu" au
Mafua ya kirainishi pendwa cha YK.
 
45bfa247feac9577b514317028959f25.jpg
73be44f4bfa53b2bae9806553f3e0160.jpg
cf4b83c5a9839dace1fa56785346797f.jpg
ee96cd1bad1ed08f144f601c2e59ac22.jpg
00745bd906a994fa3656c77e4d4f9f87.jpg
b26bf39a8591ab2cdc7cdabf78adaf92.jpg
013c1fc38d95d7f522cd5bdc471cf01c.jpg

Habari waungwana,ninahitaji kufanya biashara ya mafuta ya kupakaa mwilini ambayo ninayatengeneza mwenyewe,lakini sijajua mahali ambapo nitaweza kupata vikopo kwa ajili ya kuhifadhia hayo mafuta mwenye kufahamu ni wapi vinapatikana naomba anifahamishe.
 
Habari waungwana,ninahitaji kufanya biashara ya mafuta ya kupakaa mwilini ambayo ninayatengeneza mwenyewe,lakini sijajua mahali ambapo nitaweza kupata vikopo kwa ajili ya kuhifadhia hayo mafuta mwenye kufahamu ni wapi vinapatikana naomba anifahamishe.
Nnazo mm unataka za ujazo gani njoo whatsapp 0714-417739
 
Habari waungwana,ninahitaji kufanya biashara ya mafuta ya kupakaa mwilini ambayo ninayatengeneza mwenyewe,lakini sijajua mahali ambapo nitaweza kupata vikopo kwa ajili ya kuhifadhia hayo mafuta mwenye kufahamu ni wapi vinapatikana naomba anifahamishe.
Nicheki sisi tunakiwanda
 
Attachments

  • IMG-20170527-WA0007.jpg
    IMG-20170527-WA0007.jpg
    54.4 KB · Views: 57
Back
Top Bottom