S7 Inauzwa kwa Tshs. 650,000 tu

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,149
3,824
Husika na somo tajwa hapo juu.

Simu ni original na haina shida yoyote zaidi ya nyufa kwenye kioo kwa pembeni ambazo hazionekani pindi utumiapo simu.

Simu ipo Dar ina ukubwa wa 32 GB na rangi ya Gold.

Bei yake ni Tshs. 650,000 tu.

Kwa picha na maelewano mengine njoo PM.

Karibuni sana!
 
Back
Top Bottom