Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza Viatu original jumla na reja reja
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wadau. Nina ofisi ambayo nimeifungua mwezi uliopita. Ni restaurant lakini pia inatoa huduma za catering. Ofisi zipo kawawa road opposite The Open university of Tanzania. Kwa sasa bado...
0 Reactions
0 Replies
735 Views
MacBook Pro Inauzwa Ram 4gb HDD 1TB New Adapter Duo 2 Core Nyvdia Graphics Inch 13.3 Battery 3hrs Toleo 2010 All Softwares available Karibu Whatsapp kwa picha 0657348191
0 Reactions
4 Replies
850 Views
UMOJA COMPUTER REPAIR AND MAINTENANCE-MOSHI, ARUSHA SERVICES PROVIDED - LAPTOP REPAIR- TUNA REPAIR LAPTOPS ZENYE HARDWARE PROBLEMS ie power, display problems etc. -MOTHERBOARD...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba kujua wapi nitapata ina hizi za majiko ya gas 1.Geepas 2.Techsonic 3.Von Hot Point.
1 Reactions
39 Replies
18K Views
kuna mdogo wangu kaniomba kama 2mil anataka kwenda msumbiji kununua simu azilete bongo.Eti inawezekana kweli kuwa msumbiji vitu ni bei rahisi kwasababu masimu anayonitajia mpaka nakoma au anataka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Anayehitaji shamba maeneo ya Morogoro karibu na mto Ngerengere (Sangasanga) zipo hekari 100 anaweza kununua zote kwa pamoja ni 25 million. Pia kama unahitaji kiasi kidogo wasiliana na No...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Natafuta gari aina ya Suzuki Swift cc1.3 au K, iliyo katika hali nzuri,ikiwa ni manual transmission sawa au automatic transmission sawa. Mimi nipo dar, mawasiliano yangu ni 0715 025947. Rangi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa muhitaji wa fremu za mninga anitafute Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
6K Views
KWA MAWAKALA WOTE :Nasikia kuna tetesi kuwa kwa wale MAWAKA ambao hawafanyi miamala na WAKALA MKUU till zao zitafungwa mwezi huu.. naomba kujuzwa kwa hili
0 Reactions
1 Replies
789 Views
Pata adidas kari original 55000 tu
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari wadau. Nina kodisha mashamba yangu huko Nyanzwa Ruaha Mbuyuni na Mgama Iringa. Bei ni laki moja na nusu kwa eka. 150,000/=. Kote kunafikika kirahisi kabisa na gari maana moja liko...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Nauza Viatu original jumla na reja reja
0 Reactions
2 Replies
984 Views
Changamkieni hii fursa jameni Home - DLIIC
0 Reactions
2 Replies
719 Views
Changamkieni Hii Fursa http://dliinnovationchallenge.com/
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Heshima kwenu wakuu. Ninahitaji kununua nyuzi za mkonge kutoka mkoa wowote uliopo karibu na Dar es Salaam. Naomba anayejua kiwanda kinachozalisha nyuzi hizo au wakulima wanaouza nyuzi hizo na bei...
0 Reactions
0 Replies
746 Views
32 gb internal 8 gb external 3gb ram Inasoma 4g 16 megapixel camera ya nyuma 8 megapixel camera ya mbele Bettyry 30000mAh 320000 pungufu tutaongea 0757 971 965
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Jipatie kifaa ambacho kitakuwezesha kumenya mananasi kwa urahisi bila ya kupoteza tunda la ndani. Wanunuzi wa jumla na rejareja mnakaribishwa. Bei ya rejareja ni 50,000/- Bei ya jumla ni 45,000/-
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wasiliana nasi kujipatia chupa yako mapemaaa Usisubiri Dokta kukwambia jenga mwili wako Jipende tumia Vyaasili Kwa Tiba asili isiyo na Kemikali Narudia tenaaa Isio na kemikali We are welcome
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…