Karibuni sana kwenye restaurant yangu

A2Zlove

Member
Jan 17, 2016
11
45
Habari wadau.
Nina ofisi ambayo nimeifungua mwezi uliopita. Ni restaurant lakini pia inatoa huduma za catering. Ofisi zipo kawawa road opposite The Open university of Tanzania. Kwa sasa bado natafuta masoko hasa ya catering katika shughuli mbalimbali. Pia tunajihusisha na bakery & pastry products. Kwa yeyote anayehitaji huduma hizi anakaribishwa sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom