Majiko ya Geepas unaweza kupata mtaa wa Makunganya kule posta mpya, kuna duka la Ms. Megji wanauza. Pembeni kidogo ya sanamu ya askariNaomba kujua wapi nitapata ina hizi za majiko ya gas
1.Geepas
2.Techsonic
3.Von Hot Point.
Ubora wake mkubwa ni kwwnye matumizi ya gas na pia hayana oshi kabisa yana waka kama jiko la uneme kama ushaawahi kutumia Infared cooker la umeme.Samahanini naomba mnisaidie na Mimi kwa jiko kama hilo lenye nyavu ni bei gani? Pili ubora ukoje?Naona kuna nyavu je ukiliwasha moto unawaka kama majiko mengine au YENYEWE yanakuaje? Je uharaka wa kiivisha chakula ukilinganisha nayale mengine ukoje? MF, kama unapika maharage kwenye majiko Yale mengine na hili lipi litakaloivisha haraka?
Zuri. Ukipata tupia picha na bei. Na mimi nahitaji jiko kubwa la oven 2.
hata orxy wanayo,hayana brand name zaidi ya oryx moto wake umetulia sana kama umeme.Haya majiko ni ya Coil yale ambayo juu ni kama nyavu fulani ivi likiwaka huwa kama jiko la umeme.
Nimepata mkuu wanauza reja reja 90 mpk 1k.
Nimepata la Technosonic.