miminimkulimaakachekasana
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,263
- 4,718
kuna mdogo wangu kaniomba kama 2mil anataka kwenda msumbiji kununua simu azilete bongo.Eti inawezekana kweli kuwa msumbiji vitu ni bei rahisi kwasababu masimu anayonitajia mpaka nakoma au anataka kunitapeli?