Nyuzi za Mkonge

Nyuzi za Mkonge

ldcecane

New Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
1
Reaction score
0
Heshima kwenu wakuu.
Ninahitaji kununua nyuzi za mkonge kutoka mkoa wowote uliopo karibu na Dar es Salaam. Naomba anayejua kiwanda kinachozalisha nyuzi hizo au wakulima wanaouza nyuzi hizo na bei kwa kilo moja.

Asanten sana.
 
Back
Top Bottom