Pata kifaa cha kumenyea Mananasi kwa bei nafuu:

Mpenda Uzalendo

Senior Member
Dec 18, 2015
108
225
_1-1-jpg.522094


Jipatie kifaa ambacho kitakuwezesha kumenya mananasi kwa urahisi bila ya kupoteza tunda la ndani.
Wanunuzi wa jumla na rejareja mnakaribishwa.
Bei ya rejareja ni 50,000/-
Bei ya jumla ni 45,000/-
 

almsambya

Member
Nov 7, 2015
89
125
Pamoja na urahisi na ufanisi wake, nadhani Kifaa hiki kina mapungufu kadhaa. Mfano nanasi likiwa dogo kuliko mduara wa kifaa inakuwa ngumu kwake kufanya kazi na endapo nanasi likiwa kubwa sana kuna uwezekano mkubwa wa kuacha nyama (tunda) kubwa sehemu ya maganda.

Unless kuna namna ya kukifix kulingana na ukubwa wa tunda
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom