Taarifa ni nzuri lakini kua makini kuangalia usiingie usiuziwe kambi ya Jeshi... ! hapo ndipo utakapo gundua kua...Liko karibu na kambi ya makomandoo?
Wajeda wanatabia ya kuchukua kwa nguvu maeneo karibu na kambi ata kama una hati.(wanapohitaji eneo kwa kazi zao)Taarifa ni nzuri lakini kua makini kuangalia usiingie usiuziwe kambi ya Jeshi... ! hapo ndipo utakapo gundua kua...