Nakodisha mashamba kwa ajili ya kilimo cha matikiti, vitunguu, nyanya na kadhalika.

Nyamgluu

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
3,160
1,720
Habari wadau.
Nina kodisha mashamba yangu huko Nyanzwa Ruaha Mbuyuni na Mgama Iringa. Bei ni laki moja na nusu kwa eka. 150,000/=. Kote kunafikika kirahisi kabisa na gari maana moja liko barabarani kabisa na lingine sio mbali na barabara kuu.
Kwa Nyanzwa Ruaha mbuyuni unaweza kuwa unalala gesti kijijini ambako ni kama Km 5 kutoka shamba au nikakukodisha hema kwa laki moja msimu wote. Kwa Mgama ambako kuna faa sana kulima nyanya kuna nyumba,na msimu ni kuanzia tarehe 1 january.

Ruaha Mbuyuni Pump ipo!

Karibuni.
 
Back
Top Bottom