KAKA TAJIRI1
Member
- Oct 26, 2016
- 27
- 21
Natafuta gari aina ya Suzuki Swift cc1.3 au K, iliyo katika hali nzuri,ikiwa ni manual transmission sawa au automatic transmission sawa. Mimi nipo dar, mawasiliano yangu ni 0715 025947.
Rangi yoyote , ila ubora muhimu.
Rangi yoyote , ila ubora muhimu.