Line ya Tigo ya kuuzia vocha na vifirushi

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,310
2,000

WAKUU,

KWA ANAYEJUA UTARATIBU WA KUPATA LINE YA TIGO YA KUFANYIA BIASHARA YA KUUZA VOCHA ZA KURUSHA AU KUUNGANISHA VIFURUSHI
ANIJUZE.
NA KWA ALIYE/ANAYEFANYA HII BIASHARA ANIJUZE FAIDA YAKE HUPATIKANAJE / ASILIMIA NGAPI YA MAUZO.

 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom